Trending Now

WASANII WENYE PESA NYINGI TANZANIA 2022 , 2023 , 2024 , 2025 , 2026 , NDANI YA MIAKA (5) MITANO TOP TEN


WASANII WENYE PESA NYINGI TANZANIA 2022 , 2023 , 2024 , 2025 , 2026 , 2027 NDANI YA MIAKA (5) MITANO

1 : Diamond Platnumz 

Diamond platnumz ni msanii anayetokea tanzania. Bali na mwanamziki, msanii huyu ni mwanabiashara, ni mchezaji ngoma na pia ni meneja wa wasanii karibia watano walioko WCB. Alizaliwa tandale dar es salaam, anamiliki wasafi FM wasafi Tv na pia ni meneja wa WCB. Kwa sasa msanii huyu ana utajiri wa dollars $ 8 na inaonekana mwaka ujao atazidi kuingiza hela

$ 8 million2 : Alikiba 

$ 7 million

Ni msanii mkubwa pia nchini tanzania na baada ya diamond platnumz, alikiba anashikilia nafasi ya pili. Wengi wanapenda mziki wa alikiba kwani wadai japo yeye huchukua mda kabla ya kuachia nyimbo mpya, msanii huyu anafanya mziki wa kuishi kwa mda mrefu. Kama diamond platnumz, alikiba pia ni mchezaji ngoma. Ni mwandishi mzuri sana na pia ni muigizaji katika sinema. Alikiba hupenda kuficha maisha yake na hueka Siri sana mafanikio yake. Kiwango cha utajiri wake ni Kama $ 7 anazozipokea kutokana na kuuza mziki wake na copyright. Ukitaka alikiba aweze kutumbuiza kwa sherehe yako basi inakubidi uwe na zaidi ya $ 4,000.

3 : Lady Jaydee

$ 6 million

Kwa majina kamili judith wambura mbibo. Kama professor Jay, lady jaydee ni msanii mkongwe mwenye sauti ya kutoa nyoka pangoni. Msanii huyu pia ni mwanabiashara na mwandishi mzuri sana wa mashairi. Wasanii wakike wanaoibuka hivi sasa kama Nandy na zuchu wanamheshimu sana maana yeye ni mmoja wa wasanii wa kike walioanzisha Sanaa. Lady jaydee ako kwenye label ya Taurus music na wengi wanamjua kama malkia wa bongo flava ( queen of bongo flava)

4 : A.Y Tanzania

       $ 5.5 million
Ni msanii wa zamani kidogo kwani alianza usanii miaka ya tisaini. Kulingana na taarifa za hapa na pale, msanii huyu alianza usanii 1996 ndani ya group iliyojulikana kama S.O.G ila hakukaa sana kwa hicho kikosi kwani mwaka wa 2002 aliamua kufanya kazi peke yake. Ni Kati ya wasanii walioanzisha bongo flava kitengo Cha hip-hop wakiwemo wasanii kama professor Jay na mwana F.A. Unapoongelea orodha ya wasanii tajiri afrika basi huyu msanii apo katika top ten ya wasanii tajiri Tanzania.

5 : Rayvann | Vanny boy


$ 4 million

Ni katika wasanii wale wa mwanzo waliosajiliwa ndani ya wasafi label punde tu label hiyo ilipoanzishwa. Kufikia sasa msanii huyu anajipatia kipato kikubwa sana na nyimbo zake zimepenya zaidi. Kumpata Rayvann kwa show yako itabidi mfukoni uwe na zaidi ya $ 3,000. Utajiri wa Rayvann unatokana na uuzaji wa mziki kwenye mitandao na pia kwenye show anazozifanya ndani ya tanzania na nje ya nchi yake.

 6 : Jux


$ 3.5 million

Japo wengi wanamuona msanii wa kawaida, JUX ni msanii tajiri na apo kwenye orodha ya wasanii tajiri nchini Tanzania. Anajulikana kuwa na sauti tamu na ana uwezo wa kugeuza sauti yake na kuifanya tamu zaidi.

7 : Ommy Dimpoz

$ 3.million
Japo wengi wanamuona msanii wa kawaida, Ommy Dimpoz ni msanii tajiri na apo kwenye orodha ya wasanii tajiri nchini Tanzania. Anajulikana kuwa na sauti tamu na ana uwezo wa kugeuza sauti yake na kuifanya tamu zaidi.


8 : Timbulo 

$  2.5 million
Japo wengi wanamuona msanii wa kawaida, Timbulo ni msanii tajiri na apo kwenye orodha ya wasanii tajiri nchini Tanzania. Anajulikana kuwa na sauti tamu na ana uwezo wa kugeuza sauti yake na kuifanya tamu zaidi.9 : Mwana Fa

$  2. million
Ni msanii wa zamani kidogo kwani alianza usanii miaka ya tisaini. Kulingana na taarifa za hapa na pale, msanii huyu alianza usanii 1996 ndani ya group iliyojulikana kama S.O.G ila hakukaa sana kwa hicho kikosi kwani mwaka wa 2002 aliamua kufanya kazi peke yake. Ni Kati ya wasanii walioanzisha bongo flava kitengo Cha hip-hop wakiwemo wasanii kama professor Jay na mwana F.A. Unapoongelea orodha ya wasanii tajiri afrika basi huyu msanii apo katika top ten ya wasanii tajiri Tanzania.

10 : Harmonize

$ 1. million
Kama kuna msanii anatikisha wasafi ni harmonize. Baada ya kujitoa kwenye management ya wasafi, harmonize anafanya vizuri na anazidi kuingiza hela zaidi. Mziki anajua na tunaweza sema labda amejifunza kutokana na aliyekuwa meneja wake diamond platnumz. Harmonize ana majumba ya dhamani kubwa sana na magari ya kifahari. Kwa sasa anamiliki label ya konde gang huku akiwa na wasanii kadhaa Kama vile ibra na county boy. Utajiri wake umetokana na kuuza mziki kwenye mitandao na performance katika maeneo mbalimbali ulimwengu. Mke wa harmonize Sarah amechanga pakubwa katika kufanikiwa kwake. Inasemekana familia ya Sarah mkewe harmonize wanajihushisha na biashara ya kutayarisha na kuuza madini.
 

No comments